Tuesday, November 15, 2016

2G Studio - Studio ya Kurekodi Mziki

2G Graphics and Entertainment, Inawaletea 
2G Studio


1. Hii ni Studio inayorecord Music za aina zote
  • Nyimbo za Dini
  • Nyimbo za RNB
  • Nyimbo za Bongo Fleva
  • Nyimbo za HIP- HOP
  • Taarabu
  • Bolingo
  • Singeli  n.k
2. Hii ni Studio Inayoandaa vipindi mbalimbali vya
  • Radio
  • TV
  • Michezo ya Kuigiza
  • Matangazo
3. Hii ni studio inayofanya Videos
  • Filamu
  • Video za Mziki
  • Documentaries
  • Video na Clips za matukio mbalimbali
  • Video Demonstration
  • Kuandaa Vipindi vya Televisheni
  • Matangazo mbalimbali
Maono yetu ni kuwasaidia Watu mbalimbali ili waweze kufika katika viwango vya juu vya burudani na usanii. 

No comments:

Post a Comment